Pages

Monday, September 3, 2012

Future tense _ Wakati ujao


                   
I / We / You / He / She / It / They + will + verb
Ni / Tu / U / A / Wa + ta + kitenzi
 For example – Mifano

I will eat food
Nitakula chakula

I will play football
Nitacheza mpira

I will go to school
Nitakwenda shule

Note ‘la’ is used to show that action will be done in the future

We will eat food
Tutakula chakula

We will go to school
Tutakwenda shule
We will play football
Tutacheza mpira

They will eat food
Watacheza mpira

They will play football
Watacheza mpira

They will go to school
Watakwenda shule

You will eat food
Utakula chakula (singular/umoja)
Mtakula chakula (plural/wingi)

You will play football
Utacheza mpira (singular/umoja)
Mtacheza mpira (plural/wingi)

You will go to school
Utaenda shule (singular/umoja)
Mtaenda shule (plural/wingi)