Pages

Thursday, January 24, 2013

Official website of Kiswahili

I have developed new website www.kiswahililanguage.co.tz for kiswahili learners, so all lesson i'll post there! Thank you!!!

Monday, November 26, 2012

WEEK DAY AND MONTHS – SIKU ZA WIKI NA MIEZI


                                 WEEK DAY – SIKU ZA WIKI
Monday – Jumatatu
Tuesday – Jumanne
Wednesday – Jumatano
Thursday – Alhamisi
Friday – Ijumaa
Saturday – Jumamosi
Sunday – Jumapili
                                           MONTH – MIEZI
January – Mwezi wa kwanza
February – Mwezi wa pili
March – Mwezi wa tatu
April – Mwezi wan ne
May – Mwezi wa tano
June – Mwezi wa sita
July – Mwezi wa saba
August – Mwezi wa nane
September – Mwezi wa tisa
October – Mwezi wa kumi
November – Mwezi wa kumi na moja
Decmber – Mwezi wa kumi na mbili

Thursday, November 22, 2012

Past continuous tense


I +was + verb + ing
NI + likuwa + nina + kitenzi

He/She/It + was + verb + ing
A + likuwa + ana + kitenzi

You + were + verb +ing
U + likuwa + una + kitenzi
M + likuwa + man + kitenzi

They + were + verb + ing
Wa + likuwa + wana + kitenzi

We+ were + verb + ing
Tu + likuwa + tuna + kitenzi

I  was playing football
Nilikuwa ninacheza mpira

He/she was cooking food
Alikuwa anapika chakula
You were playing football
Ulikuwa unacheza mpira

They were eating food
Walikuwa wanakula chakula

We were watching Tv
Tulikuwa tunaangalia Tv

Monday, September 3, 2012

Future tense _ Wakati ujao


                   
I / We / You / He / She / It / They + will + verb
Ni / Tu / U / A / Wa + ta + kitenzi
 For example – Mifano

I will eat food
Nitakula chakula

I will play football
Nitacheza mpira

I will go to school
Nitakwenda shule

Note ‘la’ is used to show that action will be done in the future

We will eat food
Tutakula chakula

We will go to school
Tutakwenda shule
We will play football
Tutacheza mpira

They will eat food
Watacheza mpira

They will play football
Watacheza mpira

They will go to school
Watakwenda shule

You will eat food
Utakula chakula (singular/umoja)
Mtakula chakula (plural/wingi)

You will play football
Utacheza mpira (singular/umoja)
Mtacheza mpira (plural/wingi)

You will go to school
Utaenda shule (singular/umoja)
Mtaenda shule (plural/wingi)




Monday, July 23, 2012

Greetings - Salamu


                                 Morning - Asubuhi
John: Good morning Mr/Mrs James/
           Habari ya asubuhi bwana/bibi James/Jane

James/Jane: Good morning Mr John
                      Habari ya asubuhi bwana John

John: How are you?
           Unajisikiaje / u hali gani?

James/Jane: I am fine
                      najisikia vizuri / hali yangu ni nzuri

                      I am not fine
                      sijisikii vizuri / hali yangu sio nzuri
    
John:  What's wrong/ Are you sick?
            Tatizo nini / Unaumwa?
   
James/Jane – yes
                        ndio  

Afternoon - Mchana  
John: Good afternoon Mr/Mrs James/Jane
          Habari ya mchana bwana/bibi James/John

James/Jane: Good afternoon Mr John
                      Habari ya mchana bwana John

John: How are you?
           u hali gani? 

James/Jane: I am fine
                      najisikia vizuri / hali yangu ni nzuri  



Night - Usiku   
John: Good night Mr/Mrs James/Jane
                          Habari ya usiku bwana/bibi James/John

                                Usiku mwema bwana/bibi James/John (To wish someone have a good night especially when he/she sleep)

James/Jane: Good night Mr John
                      Usiku mwema bwana John

Bye - Kwa heri

How to introduce yourself- Jinsi ya kujitambulisha


John: Hello
         Hujambo

Jane: Hello
         Hujambo

John: How are you?
         Habari yako / U hali gani?

Jane : I am fine / not fine
          Habari yangu nzuri / sio nzuri

John: What is your name?
          Jina lako nani?

Jane: My name is Jane
         Naitwa Jane

John: Where are you come from? Or Where do you live?
          Unatokea wapi? Au Unaishi wapi?

Jane: I am from Tanzania
         Natokea Tanzania

John: Nice to meet you
         Nafurahi kukuona / kukufahamu

Jane: Nice to meet you too - Nafurahi kukufahamu pia

Saturday, July 21, 2012

Past tense - Wakati uliopita


Past tense – Wakati uliopita
I/We/You/He/She/It/They + 2nd form of verb
Ni/Tu/U/ A/ Wa+li + kitenzi

I ate food
Nilikula chakula

I played football
Nilicheza mpira

I went to school
Nilienda shule

Note ‘ni’ is used to show the first person singular,
li’ is used to show past tense.
u’ second person singular, ‘m’ second person plural
a’ third person singular, ‘wa’ third person plural
‘Li’ is used to show the act was done in the past, you look at the last lesson I theme about the present you will see ‘na’ used to show the act is done now, mfano ni+na+cheza (I am playing)

We played football
Tulicheza mpira

We ate food
Tulikula chakula

We went to school
Tulienda shule

You went to school (second person singular)
Ulienda shule

You went to school (second person plural)
Mlienda shule

He/she/it ate food
Alikula chakula

He/she/it palyed football
Alicheza mpira

He/she/it went to school
Alienda shule

They ate food
Walikula chakula

They went to school
Walienda shule

They played football
Walicheza mpira