WEEK DAY –
SIKU ZA WIKI
Monday
– Jumatatu
Tuesday
– Jumanne
Wednesday
– Jumatano
Thursday
– Alhamisi
Friday
– Ijumaa
Saturday
– Jumamosi
Sunday
– Jumapili
MONTH – MIEZI
January
– Mwezi wa kwanza
February
– Mwezi wa pili
March
– Mwezi wa tatu
April
– Mwezi wan ne
May
– Mwezi wa tano
June
– Mwezi wa sita
July
– Mwezi wa saba
August
– Mwezi wa nane
September
– Mwezi wa tisa
October
– Mwezi wa kumi
November
– Mwezi wa kumi na moja
Decmber
– Mwezi wa kumi na mbili